ALOE VERA TOOTHGEL
Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa tokana na ‘stabilized’ Aloe vera gel pamoja na bee propolis hivyo huu bacteria na vijidudu vyote.
Inang’arisha meno bila ya kuchuna tabaka la juu la meno – ENAMEL
Huzuia meno yasitoe damu , kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila ya kupiga mswaki.
Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara.
Inatumika kwa muda mrefu
Haina fluoride kama dawa nyingine za meno sokoni. Fluoride ikimezwa huweza kusababisha madhara mwilini.
call us on +255782643285
call us on +255782643285
Comments
Post a Comment