Skip to main content

JE UNASUMBULIWA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME?

JE UNASUMBULIWA NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME?

BASI LEO LIFAHAMU TATIZO LA #UKOSEFU WA NGUVU ZA #KIUME NA CHANZO CHAKE.
Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake.
Kuna sababu nyingi mno zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume. Mtu aweza kujiuliza kwa nini kuwe na sababu nyingi namna hiyo?
Nguvu za kiume Ni nini?
Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo lenyewe.
Ni viungo gani vinavyohusika na nguvu za kiume?
Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu 50 ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.
Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga.
Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayopubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k.
Nadhani unaona jinsi ilivyo vitu vingi.
Nini maana ya kupungua nguvu za kiume?
Unapopungua nguvu za kiume ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo na inavyotakiwa. Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi vizuri, au ini, au tezi dume, au neva ya parasympathetic, au moyo una tatizo au mishipa ya ateri, au misuli ya pelvic au homoni fulani iko juu sana au iko chini sana (hormonal imbalance), orodha ni ndefu sana.
Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri basi hapo hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuwa ni:
1. Kukosa hamu ya mapenzi; au
2. Uume kusimama kwa uregevu; au
3. Kuwahi kufika kileleni; au
4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au
5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au
6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au
7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au
8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;
Ili uelewe vizuri zaidi labda niseme kwamba, nguvu za kiume ni kama kiwanda; na ni zaidi ya kiwanda. Ndani ya kiwanda kuna umeme, maji, madawa, watu (wafanyakazi wa kila taaluma na fani), mashine, mitambo n.k.
Ikitokea kitu kimojawapo kukosekana, mathalani umeme, au wafanyakazi wakagoma, au kukakosekana madawa muhimu au maji na kadhaa wa kadha, basi bidhaa inayotarajiwa kupatikana sokoni, kwa hakika haitapatikana.
Vivyo hivyo nguvu za kiume, mathalani, ikitokea tezi dume kutofanya kazi vyema, basi hapo mwanaume hatoona nguvu za kiume, zitapungua au zitaisha kabisa!
Kwa hiyo upungufu wa nguvu za kiume ni upungufu au kasoro za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili wa mwanaume. Mwanaume yoyote anapaswa kutambua jambo hili.
Lakini nini kinachopelekea viungo hivyo vishindwe kufanya kazi vizuri?
Kuna maradhi kadhaa, vyakula tunavyokula, tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea viungo hivyo kutofanya kazi vizuri. Baadhi ya maradhi hayo na tabia hizo ni kujichua/punyeto (masturbation) kwa muda mrefu; kisukari; presha ya kupanda; presha ya kushuka; uvutaji wa sigara; unywaji wa pombe; madawa ya kuleva; kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika; matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.
Hata hivyo kuna vitu unaweza kufanya ili kurejesha nguvu zako za kiume.
Uume wako unatakiwa usimame kwenda #juu kama kwenye hii picha siyo usimame kwenda mbele tu au kurudi chini. Na ukisimama kwenda juu uwe umenyooka usiwe umejikunja kama ndizi hapana maana hilo ni tatizo uume wa hivyo una kitu kinaaitwa plaque... ni mafuta yamegandana na kuufanya ukisimama unakuwa kama na ulemavu fulani hivi. Usidharau tu.
Wengi hata hawaijui miili yao vizuri. Na hasa kwenye suala hili la #NguvuZaKiume. Wengi hawafatilii wanaona aibu kumbe wanalea tatizo amalo soon linaweza kuwaathiri zaidi!
Usilee tatizo. Madhara ni makubwa mno likiendelea kwa muda mrefu!
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
Mawasiliano haya hapa. Tuma neno NGUVU ZA KIUME kwenda:
Call/Sms/WhatsApp +255782643285
:::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::

Comments

Popular posts from this blog

Your Self Confidence

 Confidence  At the point when you're finding out about something new, it's not difficult to feel overpowered by the sheer measure of pertinent data accessible. This enlightening article should help you center around the essential issues.  So how would you stay quiet, formed and keep up confidence in an intense climate? Here are a few hints you may to consider as a starter manual for personal development.  Envision yourself as a Dart Board. Everything and every other person around you may become Dart Pins, at some point. These dart pins will wreck your confidence and pull you down in manners you wont even recall. Dont let them demolish you, or bamboozle you. So which dart pins would it be advisable for you to stay away from?  Dart Pin #1 : Negative Work Environment  Be careful with brutal hypothesis where every other person is battling just to excel. This is the place where non-grateful individuals normally flourish. Nobody will value your commitments regar...

Real Estate Investment – One Simple Formula

 I saw the advertisements in our humble community paper for quite a long time before I understood precisely what was happening. They were consistently the equivalent: A house available to be purchased with 5% down and installments of 1% of the price tag. It very well may be a three room home for $90,000, for instance, with $4,500 down and $900 every month installments.  A companion began doing likewise and disclosed the cycle to me. It was an approach to get an incredible profit for capital. It was something contrary to purchasing with no cash down. You purchased for money.  A Real Estate Investment Formula  It is basic, truly. At the point when you purchase for money, you frequently improve cost. A house that needs a little work may be valued at $75,000, for instance. By offering $65,000 money, you arrange your way to a $68,000 price tag. If not, you leave – there are consistently others.  At that point you put not many thousand into exceptional yield fixes and...

The Corona Effect

 The here and now is exceptionally unique and we are in a urgent period of our set of experiences. It resembles as though we are battling World War 3 at this point. It has just taken in excess of eleven thousand lives. Be that as it may, this time, it is not the same as past world battles on numerous records.  Initially, the whole globe is included. There is no decision left to any country which it can practice about doing battle or not. You need to battle for the endurance of your kin.  Furthermore, we are battling an imperceptible adversary. The foe, a little infection, not obvious by, eye can be anyplace, beguiling us, stowing away inside the sinus cavity of some conventional individual occupied with his/her normal exercises like driving to the workplace/business environment or schooling, buying basic food item, garments or contraptions, voyaging and so forth  Thirdly, albeit the adversary isn't exceptionally deadly, it is new and no antibody is accessible for it ...