JE WAJUA UNYWAJI WA POMBE NA UVUTAJI WA SIGARA KUPINDUKIA WAWEZA POTEZA UWEZO WA KUTUNZA KUMBUKUMBU?
JE WAJUA UNYWAJI WA POMBE NA UVUTAJI WA SIGARA KUPINDUKIA WAWEZA POTEZA UWEZO WA KUTUNZA KUMBUKUMBU?
Utafiti umeonesha kwamba, uvutaji wa sigara kupindukia unasbabisha kupungua kwa kiwango cha hewa safi ya oksijeni kwenye ubongo kwa ajiri ya kuratibu shuguli mbalimbali za kibaiolojia.
Pia Unywaji wa pombe kupita kiasi unaweza kusababisha,kubadilika kwa kemikali mbalimbali zinazopatikana kwenye ubongo hivyo, kuingilia mfumo mzima wautunzaji wa KUMBUKUMBU.
Comments
Post a Comment