Skip to main content

KUPUNGUA UZITO KIAFYA (kg 5 - kg 19 )ndani ya siku 24 tuu Jifunze👇🏽👇🏽👇🏽

KUPUNGUA UZITO KIAFYA (kg 5 - kg 19 )ndani ya siku 24 tuu
Jifunze👇🏽👇🏽👇🏽
Watu wengi wamekua wakihangaika kupunguza uzito wao na wengine wamekua wakikwama kutokana na aliyotumia labda sio sahii sana au hakupata ushauri wa kiafya.
Nandio maana wengi huona kupunguza uzito ni jambo gumu na kuwa na wasiwasi kua labda uzito wao au mwili aliokua nao ni wa kurithi!
Kuna njia nyingi watu hutumia wengi hutumia
1**DIET tuu
,kujipangia vyakula vya kula au kujinyima kula, kula mlo mmoja tuuh au kupunguza lishe zao na wanaweza wakakonda na kuhisi wamepungua unajua kunatofauti ya kupungua na kukonda ukiunyima mwili lishe utakonda na sio kupungua ndio maana watu wengi wanatumia diet au kujinyima kula hua kama wanadhoofika na kuonekana kama wagonjwa hata sehemu nyingine za mwili nyama hutepeta au kuning'inia. mwili unabidi ulishwe Ndugu si kuunyima virutubisho muhimu.
2***KUFANYA MAZOEZI
,ni njia nyingine ambayo hua inawapatia watu matokeo kiasi kwakua huufanya mwili kutumia lishe iliyokua imeiifadhi kuitumia yote na ndio maana ukimaliza mazoezi unajisikia kula chakula kingi zaidi
3*** Njia ya kutoa TAKA MWILI
ni njia ambayo kwa sasa zaidi ya nchi 160 na imewapatia watu matokeo mazuri sana ambayo inahusisha njia zote mazoezi,lishe pamoja na detox(kutoa taka mwili) kwanini imeongezeka detox au kutoa taka mwili ni kwa sababu tukumbuke toka tunazaliwa tunakula na mda mwingi chakula tunachokila hua hakitoki chote kingine hubaki mwilini
##JALI AFYA YAKO kupunguza uzito inawezekana
kwa ushauri zaidi na maoni zaidi
call/whatsapp mawasiliano ni (+255) 782 643 285 😉

Comments

Popular posts from this blog

The Corona Effect

 The here and now is exceptionally unique and we are in a urgent period of our set of experiences. It resembles as though we are battling World War 3 at this point. It has just taken in excess of eleven thousand lives. Be that as it may, this time, it is not the same as past world battles on numerous records.  Initially, the whole globe is included. There is no decision left to any country which it can practice about doing battle or not. You need to battle for the endurance of your kin.  Furthermore, we are battling an imperceptible adversary. The foe, a little infection, not obvious by, eye can be anyplace, beguiling us, stowing away inside the sinus cavity of some conventional individual occupied with his/her normal exercises like driving to the workplace/business environment or schooling, buying basic food item, garments or contraptions, voyaging and so forth  Thirdly, albeit the adversary isn't exceptionally deadly, it is new and no antibody is accessible for it ...

Your Self Confidence

 Confidence  At the point when you're finding out about something new, it's not difficult to feel overpowered by the sheer measure of pertinent data accessible. This enlightening article should help you center around the essential issues.  So how would you stay quiet, formed and keep up confidence in an intense climate? Here are a few hints you may to consider as a starter manual for personal development.  Envision yourself as a Dart Board. Everything and every other person around you may become Dart Pins, at some point. These dart pins will wreck your confidence and pull you down in manners you wont even recall. Dont let them demolish you, or bamboozle you. So which dart pins would it be advisable for you to stay away from?  Dart Pin #1 : Negative Work Environment  Be careful with brutal hypothesis where every other person is battling just to excel. This is the place where non-grateful individuals normally flourish. Nobody will value your commitments regar...

Real Estate Investment – One Simple Formula

 I saw the advertisements in our humble community paper for quite a long time before I understood precisely what was happening. They were consistently the equivalent: A house available to be purchased with 5% down and installments of 1% of the price tag. It very well may be a three room home for $90,000, for instance, with $4,500 down and $900 every month installments.  A companion began doing likewise and disclosed the cycle to me. It was an approach to get an incredible profit for capital. It was something contrary to purchasing with no cash down. You purchased for money.  A Real Estate Investment Formula  It is basic, truly. At the point when you purchase for money, you frequently improve cost. A house that needs a little work may be valued at $75,000, for instance. By offering $65,000 money, you arrange your way to a $68,000 price tag. If not, you leave – there are consistently others.  At that point you put not many thousand into exceptional yield fixes and...