AFYA BORA.
NAMNA YA KUONDOA SUMU MWILINI NA KUONGEZA VIRUTUBISHO MWILINI.
Leo katika zama hizi za sayansi na tekinolojia magonjwa/maradhi yamekua mengi sana si Tanzania tu bali duniani kote kutokana na Sumu kutoka katika vitu mbalimbali hali ambayo hupelekea kupungua kwa Kinga ya mwili.
.Jambo muhimu analopaswa kufahamu binadamu yoyote ni kwamba cell zetu ndio zinazopata maradhi hayo maana afya ya mwili wa binadamu hutegemea afya ya cell zake.
Najua unapenda kuwa na afya njema.
Je unafahamu maradhi mengi 90% husababishwa na utumbo wako kuwa mchafu?
Je unafahamu maradhi mengi 90% husababishwa na utumbo wako kuwa mchafu?
Je unafahamu kuwa unavyopeleka service gari lako na mwili wako unahitaji?
Umewahi kufikiria njia za kusafisha utumbo wako kutoa sumu za kemikali za soda, sigara, madhara ya madawa, air condition, juice za box(artificial juice), pombe na mengineyo?
Jaribu kufikiria je unapata choo kilaini. Je unapata kila siku?
Kutokupata choo huweza kusababisha maradhi mengi katika afya yetu. Kama vile kupata matatizo ya utumbo,vitambi, lakini pia kupata maradhi ya Bawasiri.
Kutokupata choo huweza kusababisha maradhi mengi katika afya yetu. Kama vile kupata matatizo ya utumbo,vitambi, lakini pia kupata maradhi ya Bawasiri.
Hivyo kutokana na tatizo, tafiti zimefanyika na kupitia mmea wa ALOE VERA, Bidhaa bora asili imepatikana yenye kuweza KUONDOA SUMU MWILINI NA KUONGEZA VIRUTUBISHO MWILINI MARA BAADA YA KUONDOA SUMU HIZO MWILINI.
Tumia bidhaa hii /lishe ambayo inatoa sumu mwilini, inaongeza kinga ya mweli, inasaidia mmeng'enyo wa chakula kuwa vizuri hivyo kuondokana na tatizo la kutopata choo(constipation).
Pia husaidia katika maradhi ya presha,uvimbe,kisukari,madonda ya tumbo,aleji,kupunguza kasi ya uzee kwa kuondoa ngozi iliyochoka, kuua bacteria na virusi wasiohitajika mwilini na hivyo kuwa na afya bora.
Kwa maelezo zaidi ya namna ya kupata bidhaa/ lishe hizo waweza ku comment namba zako au
+255782643285
Tunapatikana Makumbusho -Dar es Salaam.
Karibu sana.
WhatsApp/Calls and Texts.
Comments
Post a Comment