AFYA BORA. NAMNA YA KUONDOA SUMU MWILINI NA KUONGEZA VIRUTUBISHO MWILINI. Leo katika zama hizi za sayansi na tekinolojia magonjwa/maradhi yamekua mengi sana si Tanzania tu bali duniani kote kutokana na Sumu kutoka katika vitu mbalimbali hali ambayo hupelekea kupungua kwa Kinga ya mwili. .Jambo muhimu analopaswa kufahamu binadamu yoyote ni kwamba cell zetu ndio zinazopata maradhi hayo maana afya ya mwili wa binadamu hutegemea afya ya cell zake. Najua unapenda kuwa na afya njema. Je unafahamu maradhi mengi 90% husababishwa na utumbo wako kuwa mchafu? Je unafahamu kuwa unavyopeleka service gari lako na mwili wako unahitaji? Umewahi kufikiria njia za kusafisha utumbo wako kutoa sumu za kemikali za soda, sigara, madhara ya madawa, air condition, juice za box(artificial juice), pombe na mengineyo? Jaribu kufikiria je unapata choo kilaini. Je unapata kila siku? Kutokupata choo huweza kusababisha maradhi mengi katika afya yetu. Kama vile kupata matatizo ya utumbo,vitambi, la...